
Hakuna siri kuoa ni kazi. Wachumba lazima wajifunze namna ya kutafuta suluhu na kubembeleza mahusiano pale matatizo yanapotokea. Kama mwanya wa uaminifu ukitokea kwa mke wako kwaajili ya udanganyifu alioufanya, usaliti huu unaweza kupelekea kukosa m…