Hakuna siri kuoa ni kazi. Wachumba lazima wajifunze namna ya kutafuta suluhu na kubembeleza mahusiano pale matatizo yanapotokea. Kama mwanya wa uaminifu ukitokea kwa mke wako kwaajili ya udanganyifu alioufanya, usaliti huu unaweza kupelekea kukosa
matumaini, huzua hasira na huondoa
uaminifu kabisa kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke.
Watu wanaotarajia kuanza uhusiano wa kiuchumba ni vyema kutafuta washauri ili kuwashauri juu vitu vitakavyotokea vitakavyo sababisha ukosefu wa uaminifu na pia mambo yatakayo pelekea kuondoa matumaini lakini pia kuwashauri namna ya kutatua migogoro itayotokea ili kuwarudisha katika mahusiano mazuri yatakayowafanya kuwa pamoja, inaweza ikasaidia.
1. Imarisha mawasiliano.
Ingawa inaweza kuumiza na kuumiza hakujabadili udanganyifu au ukosefu wa uaminifu uliotendeka, ndoa inatakiwa kujengewa kwa msingi wa ukweli na uwazi. Kuimarisha mawasiliano juu ya jambo lilitokea ambalo likapelekea udanganyifu, na inaweza kuwa ngumu sana kulijadili hili jambo kwa undani, lakini kwasababu ya kuweka amani ya moyo ni vizuri. Kama mke anaendelea kutunza siri hii italeta tatizo kubwa badala yake anatakiwa kuomba radhi na kuthamini hisia za mume wake ili kuweka ndoa yake katika hali nzuri.
2. Anzisha mahusiano upya.
Baada ya udanganyifu, ni vigumu sana kurudisha uhusiano kama ulivyokuwa mwanzo. Katika kurudisha uamuzi wenu dhabiti, muanze uhusiano upya. Mwanamke anaweza kumshtukiza mume wake na vitu vipya vitakavyoimarisha kama kumjali, upendo ulioboreshwa yaani zaidi ya mwazo, hata kumkumbatia kumbatia wakati wakiwa wote. Pale mwanamke anapomdanganya mwanaume, mwanaume hujisikia kuwa kutotakiwa katika jamii aliyopo na pia kutokuwa na mvuto. Kuwa nae karibu na kuonyesha jinsi uliyoathirika katika jambo hilo kunamuinua na kumuongezea ujasiri na kujiamini pia.
3. Tafuta washauri wa ndoa.
Kufanya kazi na hisia za ndani za mtu aliyedanganywa na mke inahitaji mtu aliyebobea katika ushauri kuhusu maswala ya mahusiano. Mshauri wa ndoa au wa familia yeye atawasaidia wote katika kutatua migogoro na kutokuelewana kwenu, na pia hata tabia mbaya za uvunjifu wa ndoa yenu na kuwapa njia bora zitakazofanya uhusiano wenu au ndoa yenu kuuendelea, na itawasaidia kuwa na mtu wa tatu ambaye atawasikiliza na kuwapa majibu yatakayoisaidia ndoa yako. Jinsi ya kutunza ndoa yako, hata kama kuna udanganyifu na usaliti.
Next
This is the most recent post.
Previous
STYLE(staili) ZA KUFANYA MAPENZI NA (mama/mwanamke) MJAMZITO picha na video
Recent Posts
Jinsi ya kutunza ndoa yako, hata kama kuna udanganyifu na usaliti.
Hakuna siri kuoa ni kazi. Wachumba lazima wajifunze namna ya kutafuta suluhu na kubembeleza mah[...]
Jul 04, 2018STYLE(staili) ZA KUFANYA MAPENZI NA (mama/mwanamke) MJAMZITO picha na video
wapendanao wawe wanasarakasiyaani wawe wepesi wa viungo. Leo nitazungumzia staili MBILI ambazo mwa[...]
Jul 02, 2018JINSI YA KUMPAGAWISHA MWANAUME KITANDANI(sehemu za kumshika mwanaume zitakazo mpandisha nyege/hamu ya kungonoka)
wanaume nao huwa na maeneo ya kuwa sisimua na kuwpandisha nyege kwa kasi zaidi huku akipata raha [...]
Jul 02, 2018Huyu Ndiye Adui Namba Moja Kwenye Malezi Ya Watoto.
Habari mpenzi msomaji wa Amka Mtanzania? Karibu katika makala yetu ya leo ambapo tutazungumzia a[...]
Jul 02, 2018Hakikisha unafanya Mambo haya ili Mpenzi Wako Achanganyikiwe Juu Yako Na Kukupenda Zaidi.
"Kwenye mahusiano ya kimapenzi ni vizuri uzito wa mahusiano uwe pande zote mbili, mapenzi huwa ma[...]
Jul 02, 2018HIZI NDIO SABABU ZA WANAWAKE WENGI KUPENDA KULIWA TIGO..!!
TAGS Tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni[...]
Jul 01, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nimependa sana mafunzo yako,,,nami ninashida kwandoa yangu ,,je napataje mawasiliano yako unishauri kituu
ReplyDelete